Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 21:2 - Swahili Revised Union Version

2 Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali Mwenyezi Mungu huupima moyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali bwana huupima moyo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.

Tazama sura Nakili




Methali 21:2
18 Marejeleo ya Msalaba  

(Na nipimwe katika mizani iliyo sawasawa, Ili Mungu aujue uelekevu wangu);


Kwa maana hujipendekeza machoni pake Kuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.


Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.


Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu.


Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.


Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Bali BWANA huijaribu mioyo.


Wanadamu hutangaza kila mtu hisani yake mwenyewe; Bali mtu aliye mwaminifu, ni nani awezaye kumpata?


Ukisema, Sisi hatukujua hayo; Je! Yeye aipimaye mioyo siye afahamuye? Naye ailindaye nafsi yako siye ajuaye? Je! Hatamlipa kila mtu sawasawa na kazi yake?


Kuna kizazi cha watu walio safi machoni pao wenyewe; Ambao hawakuoshwa uchafu wao.


Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.


TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.


Akawaambia, Ninyi ndinyi mnaojidai haki mbele ya wanadamu, lakini Mungu awajua mioyo yenu; kwa kuwa lililotukuka kwa wanadamu huwa chukizo mbele za Mungu.


Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.


Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu.


nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye fikira na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.


Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo