Methali 21:1 - Swahili Revised Union Version1 Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Mwenyezi Mungu; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Moyo wa mfalme uko katika mkono wa bwana; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo. Tazama sura |