Methali 20:6 - Swahili Revised Union Version6 Wanadamu hutangaza kila mtu hisani yake mwenyewe; Bali mtu aliye mwaminifu, ni nani awezaye kumpata? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Watu wengi hujivunia kuwa wema, lakini mwaminifu wa kweli apatikana wapi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Watu wengi hujivunia kuwa wema, lakini mwaminifu wa kweli apatikana wapi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Watu wengi hujivunia kuwa wema, lakini mwaminifu wa kweli apatikana wapi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Wanadamu hutangaza kila mtu hisani yake mwenyewe; Bali mtu aliye mwaminifu, ni nani awezaye kumpata? Tazama sura |