Methali 18:20 - Swahili Revised Union Version20 Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Tazama sura |