Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 17:5 - Swahili Revised Union Version

5 Amchekaye maskini humtukana Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Yeye anaye mdhihaki maskini huonesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Amchekaye maskini humtukana Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.

Tazama sura Nakili




Methali 17:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kama nilifurahi kwa kuangamia kwake huyo aliyenichukia, Au kujitukuza alipopatikana na maovu;


Maana mvuto wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.


Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri.


Amwoneaye maskini humsuta Muumba wake; Bali yeye awahurumiaye wahitaji humheshimu.


Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatakosa adhabu.


Mimi hapa sikufanya haraka kuacha kuwa mchungaji nyuma yako; wala sikuitamani siku ya maradhi ya kuua; wewe unajua; yaliyotoka midomoni mwangu yalikuwa mbele za uso wako.


Uwaambie hao wana wa Amoni, Lisikieni neno la Bwana MUNGU; Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu umesema, Aha! Juu ya patakatifu pangu, palipotiwa unajisi; na juu ya nchi ya Israeli, ilipoharibiwa; na juu ya nyumba ya Israeli, walipokwenda kifungoni;


Kwa sababu ya udhalimu aliotendwa ndugu yako Yakobo, aibu itakufunika, nawe utakatiliwa mbali hata milele.


Kwa maana kama vile mlivyokunywa juu ya mlima wangu mtakatifu, ndivyo mataifa yote watakavyokunywa daima; naam, watakunywa na kuyumbayumba, nao watakuwa kana kwamba hawakuwa kamwe.


Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.


Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia, kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji, akamzuilia huruma zake, je! Upendo wa Mungu wakaaje ndani yake huyo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo