Methali 17:4 - Swahili Revised Union Version4 Mtenda mabaya husikiliza midomo ya uovu; Na mwongo hutega sikio lake kusikiliza ulimi wa madhara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtenda maovu husikiliza maneno mabaya, mwongo hutegea sikio ulimi mdanganyifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtenda maovu husikiliza maneno mabaya, mwongo hutegea sikio ulimi mdanganyifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtenda maovu husikiliza maneno mabaya, mwongo hutegea sikio ulimi mdanganyifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya; mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa madhara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya; mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa madhara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mtenda mabaya husikiliza midomo ya uovu; Na mwongo hutega sikio lake kusikiliza ulimi wa madhara. Tazama sura |