Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 17:28 - Swahili Revised Union Version

28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima; akifunga mdomo wake huonekana kuwa mwenye akili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima; akifunga mdomo wake huonekana kuwa mwenye akili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima; akifunga mdomo wake huonekana kuwa mwenye akili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima akinyamaza, na mwenye ufahamu akiuzuia ulimi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza, na mwenye ufahamu kama akiuzuia ulimi wake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

Tazama sura Nakili

Methali 17:28
7 Marejeleo ya Msalaba  

Laiti mngenyamaza kabisa! Hilo lingekuwa hekima kwenu.

Na mimi, je! Ningoje, kwa sababu hawaneni, Kwa sababu wasimama kimya, wala wasijibu tena;

Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.

Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema.

Tena, upumbavu huongeza maneno; lakini mwanadamu hajui yatakayokuwako; nayo yatakayokuwa baada yake, ni nani awezaye kumweleza?

Naam, huyo mpumbavu tena, aendapo njiani, hupungukiwa na fahamu zake; hata humwambia kila mtu ya kuwa yeye ni mpumbavu.

Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo