Methali 17:12 - Swahili Revised Union Version12 Afadhali mtu akutwe na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyang’anywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyang’anywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Afadhali mtu akutwe na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake. Tazama sura |