Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 16:3 - Swahili Revised Union Version

3 Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatakuwa kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mkabidhi Mwenyezi Mungu lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mkabidhi bwana lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatakuwa kweli.

Tazama sura Nakili




Methali 16:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; Na mwanga utaziangazia njia zako.


Lakini mimi ningemtafuta Mungu, Ningemwekea Mungu kesi yangu;


Umtwike BWANA mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.


Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.


Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hiyo nawaambia, Msisumbukie maisha yenu, mtakula nini; wala miili yenu, mtavaa nini.


Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.


huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo