Methali 16:2 - Swahili Revised Union Version2 Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. Tazama sura |