Methali 16:1 - Swahili Revised Union Version1 Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Tazama sura |