Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 15:26 - Swahili Revised Union Version

26 Ushauri mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Mwenyezi Mungu huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

26 Ushauri mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi.

Tazama sura Nakili




Methali 15:26
13 Marejeleo ya Msalaba  

Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.


Moyo wangu umefurika kwa jambo jema, Mimi nasema niliyomfanyia mfalme; Ulimi wangu ni kama kalamu ya mwandishi stadi.


Wenye uhalifu moyoni ni chukizo kwa BWANA; Walio wakamilifu katika njia zao humpendeza.


Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!


BWANA ataing'oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane.


Atamaniye faida huifadhaisha nyumba yake mwenyewe; Bali achukiaye zawadi ataishi.


Maneno yapendezayo ni kama sega la asali; Ni tamu nafsini, na afya mifupani.


Fikira za mpumbavu ni dhambi, Na mwenye mzaha huwachukiza watu.


Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?


Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wizi, ushuhuda wa uongo, na matukano;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo