Methali 13:9 - Swahili Revised Union Version9 Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mwadilifu hung'aa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nuru ya mwenye haki hung’aa sana, bali taa ya mwovu itazimwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nuru ya mwenye haki hung’aa sana, bali taa ya mwovu itazimwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika. Tazama sura |