Methali 13:18 - Swahili Revised Union Version18 Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa; Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Umaskini na fedheha humpata asiyejali mafundisho, lakini mwenye kusikia maonyo huheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Umaskini na fedheha humpata asiyejali mafundisho, lakini mwenye kusikia maonyo huheshimiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Umaskini na fedheha humpata asiyejali mafundisho, lakini mwenye kusikia maonyo huheshimiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Umaskini na fedheha zitampata yeye akataaye kurudiwa; Bali yeye aangaliaye maonyo ataheshimiwa. Tazama sura |