Mathayo 27:7 - Swahili Revised Union Version7 Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hivyo basi, baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa hiyo baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. Tazama sura |