Mathayo 27:49 - Swahili Revised Union Version49 Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI49 Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. Tazama sura |