Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 24:41 - Swahili Revised Union Version

41 wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Wanawake wawili watakuwa wanasaga kwa kinu cha mkono, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Wanawake wawili watakuwa wanasaga pamoja, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

41 wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 24:41
5 Marejeleo ya Msalaba  

na wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa huyo kijakazi aliye pale nyuma ya jiwe la kusagia; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.


Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji.


Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;


Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. [


Mtu awaye yote asitwae jiwe la kusagia, la juu wala la chini, kuwa rehani; kwani hivi ni kutwaa maisha ya mtu kuwa rehani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo