Mathayo 24:40 - Swahili Revised Union Version40 Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; Tazama sura |