Mathayo 22:29 - Swahili Revised Union Version29 Yesu akajibu, akawaambia, Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Yesu akajibu, akawaambia, Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Tazama sura |