Mathayo 17:11 - Swahili Revised Union Version11 Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote, Tazama sura |