Matendo 3:20 - Swahili Revised Union Version20 apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Fanyeni hivyo ili Bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 naye apate kumtuma Al-Masihi, ambaye ameteuliwa kwa ajili yenu, yaani Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 naye apate kumtuma Al-Masihi, ambaye ameteuliwa kwa ajili yenu, yaani Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani; Tazama sura |