Matendo 3:21 - Swahili Revised Union Version21 ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ilimpasa mbingu zimpokee hadi wakati wa kufanywa upya kila kitu, kama Mungu alivyoahidi zamani kupitia kwa manabii wake watakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ilimpasa mbingu zimpokee mpaka wakati wa kufanywa upya kila kitu, kama Mwenyezi Mungu alivyoahidi zamani kupitia kwa vinywa vya manabii wake watakatifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu. Tazama sura |