Matendo 3:19 - Swahili Revised Union Version19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Tubuni basi mkamgeukie Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kutoka kwake Mwenyezi Mungu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Tubuni basi mkamgeukie Mwenyezi Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwepo kwake Mwenyezi Mungu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; Tazama sura |