Matendo 23:4 - Swahili Revised Union Version4 Wale waliosimama karibu wakasema, Je! Unamtukana Kuhani Mkuu wa Mungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wale watu waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wakamwambia, “Je, wewe wathubutu kumtukana kuhani mkuu wa Mungu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wale watu waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wakamwambia, “Je, wewe wathubutu kumtukana kuhani mkuu wa Mungu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Wale waliosimama karibu wakasema, Je! Unamtukana Kuhani Mkuu wa Mungu? Tazama sura |