Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 8:19 - Swahili Revised Union Version

19 Nilipoivunja ile mikate mitano na kuwapa wale elfu tano, mlichukua vikapu vingapi vimejaa vipande? Wakamwambia, Kumi na viwili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu 5,000? Mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu 5,000? Mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu 5,000? Mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki.” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Nilipoimega ile mikate mitano kwa watu elfu tano, mlikusanya vikapu vingapi vilivyojaa mabaki?” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Nilipoimega ile mikate mitano kuwalisha watu 5,000, mlikusanya vikapu vingapi vilivyojaa vya masazo?” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Nilipoivunja ile mikate mitano na kuwapa wale elfu tano, mlichukua vikapu vingapi vimejaa vipande? Wakamwambia, Kumi na viwili.

Tazama sura Nakili

Marko 8:19
4 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo