Marko 8:18 - Swahili Revised Union Version18 Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Je, mnayo macho na hamwoni? Mnayo masikio na hamsikii? Je, hamkumbuki Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Je, mnayo macho na hamwoni? Mnayo masikio na hamsikii? Je, hamkumbuki Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Je, mnayo macho na hamwoni? Mnayo masikio na hamsikii? Je, hamkumbuki Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Je, mna macho lakini mnashindwa kuona, na mna masikio lakini mnashindwa kusikia? Je, hamkumbuki? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Je, mna macho lakini mnashindwa kuona, na mna masikio lakini mnashindwa kusikia? Je, hamkumbuki? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki? Tazama sura |