Marko 7:34 - Swahili Revised Union Version34 akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake “Funguka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Ndipo Isa akatazama mbinguni, akashusha pumzi kwa nguvu, akamwambia, “Efatha!” (yaani, “Funguka!”) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Ndipo Isa akatazama mbinguni, akavuta hewa ndani kwa nguvu akamwambia, “Efatha!” Yaani, “Funguka!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka. Tazama sura |