Marko 7:35 - Swahili Revised Union Version35 Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukaachiliwa, akaanza kuongea sawasawa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Mara masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri. Tazama sura |