Marko 4:28 - Swahili Revised Union Version28 Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: Kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke. Tazama sura |