Marko 4:22 - Swahili Revised Union Version22 Kwa maana hakuna neno lililositirika, ila kusudi lije kudhihirika; wala hakuna lililofichwa, ila kusudi lije kutokea wazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kwa kuwa hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna jambo lolote la siri ambalo halitaletwa nuruni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kwa kuwa hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna jambo lolote la siri ambalo halitaletwa nuruni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Kwa maana hakuna neno lililositirika, ila kusudi lije kudhihirika; wala hakuna lililofichwa, ila kusudi lije kutokea wazi. Tazama sura |