Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 14:51 - Swahili Revised Union Version

51 Na kijana mmoja alimfuata, akiwa amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Kijana mmoja, aliyekuwa amevaa nguo ya kitani pekee, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

51 Na kijana mmoja alimfuata, akiwa amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;

Tazama sura Nakili

Marko 14:51
4 Marejeleo ya Msalaba  

huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

Ndipo wakamwacha, wakakimbia wote.

naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia akiwa uchi.

Samsoni akawaambia, Mimi nitawategea ninyi kitendawili; kama mnaweza kunitegulia katika hizo siku saba za karamu, na kukitambua, ndipo nitakapowapa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo