Marko 12:20 - Swahili Revised Union Version20 Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Basi kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa bila kuacha mtoto yeyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa pasipo kuwa na mtoto yeyote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao. Tazama sura |