Maombolezo 5:7 - Swahili Revised Union Version7 Baba zetu walitenda dhambi hata hawako; Na sisi tumeyachukua maovu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wazee wetu walitenda dhambi na hawapo tena; nasi tunateseka kwa sababu ya makosa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wazee wetu walitenda dhambi na hawapo tena; nasi tunateseka kwa sababu ya makosa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wazee wetu walitenda dhambi na hawapo tena; nasi tunateseka kwa sababu ya makosa yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Baba zetu walitenda dhambi hata hawako; Na sisi tumeyachukua maovu yao. Tazama sura |