Luka 6:31 - Swahili Revised Union Version31 Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Watendeeni wengine kama ambavyo mngetaka wawatendee ninyi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo. Tazama sura |