Luka 5:31 - Swahili Revised Union Version31 Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio wagonjwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Yesu akawajibu, “Wenye afya hawamhitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Isa akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Isa akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio wagonjwa. Tazama sura |