Luka 23:3 - Swahili Revised Union Version3 Pilato akamwuliza, akisema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu akamwambia, Wewe wasema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Pilato akamwuliza Yesu, “Wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamjibu, “Wewe umesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Pilato akamwuliza Yesu, “Wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamjibu, “Wewe umesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Pilato akamwuliza Yesu, “Wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamjibu, “Wewe umesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Basi Pilato akamuuliza Isa, “Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe wasema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Basi Pilato akamuuliza Isa, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe wasema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Pilato akamwuliza, akisema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu akamwambia, Wewe wasema. Tazama sura |