Luka 22:57 - Swahili Revised Union Version57 Akakana, akisema, Ee mwanamke, simjui. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Lakini Petro akakana akisema, “Wee! Simjui mimi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Lakini Petro akakana akisema, “Wee! Simjui mimi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Lakini Petro akakana akisema, “Wee! Simjui mimi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI57 Akakana, akisema, Ee mwanamke, simjui. Tazama sura |