Luka 22:51 - Swahili Revised Union Version51 Yesu akajibu akasema, Muwe radhi kwa hili. Akamgusa sikio, akamponya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Yesu akajibu akasema, Muwe radhi kwa hili. Akamgusa sikio, akamponya. Tazama sura |