Luka 22:46 - Swahili Revised Union Version46 Akawaambia, Mbona mmelala usingizi? Ondokeni, mkaombe, msije mkaingia majaribuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Akawaambia, “Mbona mnalala? Amkeni msali, msije mkaingia katika kishawishi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Akawaambia, Mbona mmelala usingizi? Ondokeni, mkaombe, msije mkaingia majaribuni. Tazama sura |