Luka 22:16 - Swahili Revised Union Version16 kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu. Tazama sura |