Luka 20:39 - Swahili Revised Union Version39 Waandishi wengine wakajibu wakamwambia, Mwalimu, umesema vema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Baadhi ya wale waalimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umejibu vema kabisa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Baadhi ya walimu wa Torati wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Baadhi ya walimu wa Torati wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Waandishi wengine wakajibu wakamwambia, Mwalimu, umesema vema; Tazama sura |