Luka 18:28 - Swahili Revised Union Version28 Petro akasema, Tazama, sisi tumeviacha vitu vyetu vyote na kukufuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Petro akasema, Tazama, sisi tumeviacha vitu vyetu vyote na kukufuata. Tazama sura |