Luka 18:19 - Swahili Revised Union Version19 Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yesu akamwambia, “Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yesu akamwambia, “Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yesu akamwambia, “Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Isa akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Isa akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu. Tazama sura |