Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 18:18 - Swahili Revised Union Version

18 Tena, mtawala mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kiongozi mmoja, Myahudi, alimwuliza Yesu, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uhai wa milele?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kiongozi mmoja, Myahudi, alimwuliza Yesu, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uhai wa milele?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kiongozi mmoja, Myahudi, alimwuliza Yesu, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uhai wa milele?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mtawala mmoja akamuuliza Isa, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Mtawala mmoja akamuuliza Isa, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Tena, mtawala mmoja alimwuliza, akisema, Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?

Tazama sura Nakili

Luka 18:18
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nao huja kwako kama watu wajavyo, nao hukaa mbele yako kama watu wangu, nao husikia maneno yako, wasiyatende; maana kwa vinywa vyao hujifanya kuwa wenye upendo mwingi, lakini mioyo yao inatafuta faida yao.

Mwana humheshimu baba yake, na mtumishi humcha bwana wake; basi, kama mimi ni baba yenu, heshima yangu iko wapi? Na kama mimi ni bwana wenu, kicho changu ki wapi? BWANA wa majeshi awauliza ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau jina langu. Nanyi mwasema, Tumelidharau jina lako kwa jinsi gani?

Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu.

Na kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamyatendi nisemayo?

kisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka?

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo