Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 18:17 - Swahili Revised Union Version

17 Amin, nawaambia, Mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hauingii kamwe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika ufalme huo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika ufalme huo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika ufalme huo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mwenyezi Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Amin, nawaambia, Mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hauingii kamwe.

Tazama sura Nakili

Luka 18:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.

Amin, nawaambieni, yeyote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa.

Bali Yesu akawaita waje kwake, akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa kuwa watu kama hao ufalme wa Mungu ni wao.

Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu; lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga, bali katika akili zenu muwe watu wazima.

Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;

Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo