Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 17:37 - Swahili Revised Union Version

37 Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Hapo wakamwuliza, “Ni wapi Bwana?” Naye akawaambia, “Palipo mzoga, ndipo tai watakapokusanyikia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi, Bwana Isa?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

37 Wakajibu, wakamwuliza, Wapi, Bwana? Akawaambia, Ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.

Tazama sura Nakili

Luka 17:37
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana nitawakusanya mataifa yote walete vita juu ya Yerusalemu; na huo mji utapigwa, nazo nyumba zitatekwa, nao wanawake watatendwa jeuri; na nusu ya watu wa mji watatoka kwenda utumwani; ila mabaki ya watu wa mji hawatakatiliwa mbali.

Kwa kuwa popote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.

huku wakituzuia tusiseme na Mataifa wapate kuokolewa; ili watimize dhambi zao siku zote. Lakini hasira imewafikia hata mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo