Luka 17:36 - Swahili Revised Union Version36 Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.] Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.] Tazama sura |