Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 17:14 - Swahili Revised Union Version

14 Alipowaona aliwaambia, Nendeni, mkajioneshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Alipowaona aliwaambia, Nendeni, mkajioneshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.

Tazama sura Nakili

Luka 17:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.

Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa bado wanena, nitasikia.

Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Ndipo akakubali.

Akamkataza asimwambie mtu, ila, Nenda ukajioneshe kwa kuhani; ukatoe sadaka kwa ajili ya kutakasika kwako kama Musa alivyoamuru, iwe ushuhuda kwao.

Bali akienda usiku hujikwaa; kwa sababu nuru haimo ndani yake.

Mamaye akawaambia watumishi, Lolote atakalowaambia, fanyeni.

akamwambia, Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu, (maana yake, Aliyetumwa). Basi akaenda na kunawa; akarudi akiwa anaona.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo