Luka 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Msichukue mfuko, wala mkoba, wala viatu; wala msimwamkie mtu njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Msichukue mfuko, wala mkoba, wala viatu; wala msimwamkie mtu njiani. Tazama sura |