Luka 10:3 - Swahili Revised Union Version3 Nendeni, angalieni, nawatuma kama wana-kondoo kati ya mbwamwitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sasa nendeni; fahamuni kwamba ninawatuma nyinyi kama kondoo wanaokwenda kati ya mbwamwitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nendeni! Tazama ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa-mwitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nendeni, angalieni, nawatuma kama wana-kondoo kati ya mbwamwitu. Tazama sura |